0
Waache Waoane - Chege (Ft. Diamond Platnumz)
0 0
Waache Waoane - Chege (Ft. Diamond Platnumz)
[Intro: Chege]
Said Fella!
T.M.K. for life
Wasafi
Enhe-he-he
Check it out
Wasafi Records

[Pre-Chorus: Chege]
Maji ya moto yamekuwa baridi
(La, la, la, la, la...)
Hakimu nimekuwa shahidi
(La, la, la, la, la...)
Ukishusha mateso ndio yanazidi
(La, la, la, la, la...)
Alioniliza ndio wa kunifariji
(La, la, la, la, la...)

[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Verse 1: Chege]
Yamedhibitisha macho, 'lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho, 'ni yule unayeona anayekufaa
Nilifumba mboni zangu, 'kwa wengine ni muone yeye tu
Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu
Mwambie' awe huru, wala sinto lalama
(Ah-ha, ah-ha)
Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama
(Ah-ha, ah-ha)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?