[Intro: Jay Melody]
Mmh, mmh
Ooh no, no, no
Jay once again

[Verse 1: Jay Melody]
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni kaa napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nishatulia mimi
For your love let me sing, sing
Nisha kolea hatari mapenzini

[Bridge: Jay Melody]
Tamu pipi ya kijiti
(Anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndo ya mkeka
Penzi halishikiki
(Anhaa)
Linavyo tetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?