Hadithi hadithi njoo
Mwenzako n’na dukuduku
Simtumi njiwa, najituma mwenyewe yeah (oyeah)
Vipigo na vichinjo, sivipati tena huku (mmh)
You i want you in my life, sitoboi bila wewe
Si, you wanted my number
Nami nikakupea (sawa sawa)
Naomba nijue kama ninakosea (sawa sawa)
Mapenzi wanasemaga kikohozi
Nikikuona hadi naishiwa pozi
Siwezi kupenda tena mabitozi
I want a gentleman
I swear am happy, oh am happy
Yes, i’ll marry you
Tena mwenzenu am happy
Yes, i’ll marry you
Chorus:
I just wanna love you, love you
Can i be your babe?
I want you to want me babe
I want you to be the one to save me
Like a superman
Cause am a supеrwoman
(Superwomaaaan)
Mwenzako n’na dukuduku
Simtumi njiwa, najituma mwenyewe yeah (oyeah)
Vipigo na vichinjo, sivipati tena huku (mmh)
You i want you in my life, sitoboi bila wewe
Si, you wanted my number
Nami nikakupea (sawa sawa)
Naomba nijue kama ninakosea (sawa sawa)
Mapenzi wanasemaga kikohozi
Nikikuona hadi naishiwa pozi
Siwezi kupenda tena mabitozi
I want a gentleman
I swear am happy, oh am happy
Yes, i’ll marry you
Tena mwenzenu am happy
Yes, i’ll marry you
Chorus:
I just wanna love you, love you
Can i be your babe?
I want you to want me babe
I want you to be the one to save me
Like a superman
Cause am a supеrwoman
(Superwomaaaan)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.