"Rudi" - Rich Mavoko ft Patoranking
[Verse 1 - Rich Mavoko]
Sauti na tabasamu lako
Ndio linafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzako
Unapolia chozi nsifute
Mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini?
Kweli maziwa nimegeuka tui
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

[Chorus - Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?