Ooh yeah, baby
This one for the true lovers
Just In Love Music

Hey naumia moyo
Baby...yeah mmh

Ningekuwa mng'ata hii dunia
Ooh mi amor
Ila ndo nisije jaliwa
Sina la ku offer
Zaidi ya mapenzi ya dhati

Hali yako naielewa
Wala usijali, nimekubali ilivyo
Kwako nimelowa
Nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh

My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh baby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni

My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh baby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?