Ah! Ona ye pekee ndo anayetambua
Yupi anasema ukweli na yupi msiri
Ah! Na asikwambie eti kwamba niko sawa usisikie
Uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza
Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie
Moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi
Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa
Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya
Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa
Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eh-eh)
(Umeniacha na nani?) Sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri
(Umeniacha na nani?) Nimekuwa dhaifu inauma na roho
(Umeniacha na nani?) Hata huruma hauna ah hauna ah-ah
(Umeniacha na nani?) Nani ihi, ni nani umeniacha na yeye
Sitaki kuwa kobe la mchana kipitacho mbele nikakobelea tu
Na hisia siwezi zidanganya, nimezama nishakuzoea boo
Mapigo ya moyo yatafеli kweli, isigeuke vita karaba na kirikuu
Tuliahidi si tutapеndana, tutasemaheana sa mbona unaniruka we
Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere
Maana ni hasara, hasara ah
Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere
Kifuano utalala, utalala ah-ah

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.