0
Chombo - Rayvanny
0 0

Chombo Rayvanny

"Chombo" by Rayvanny, released in 2021, is a vibrant Afrobeat track that celebrates love and attraction. The lyrics express admiration for a romantic partner, highlighting their beauty and charm. Unique elements include catchy rhythms and energetic beats, typical of Tanzanian music. The song resonates widely, contributing to Rayvanny's cultural influence. #Afrobeat

Chombo - Rayvanny
Eh, Vanny boy, Vanny boy

Foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor, danga, wachune komesha viranga
Basi vimba, tamba, block. wakikuchamba

(Oh lalala) cheusi mangala, wakanda
(Oh lalala) tukale sangara, wa mwanza
(Oh lalala) nywele chotara kinanda
(Oh lalala) geto papara misamba

Chombo chombo chombo... kanakwenda na fashion
Chombo chombo chombo... kana ngozi ya lotion
Chombo chombo chombo... mechi chumbani sebuleni
Chombo (chi) chombo chombo... ntakapeleka ukweni

Macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo
Pekecha pekecha, ulimbi ulimbombo
Mi ni wako ni ng'ang'anie, kama mbozi na kimondo
Nogesha nogesha, pegere na kamongo

Oh baby baby, (baby) mwenzako nita dead-i (my baby)
Hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed-i bed-i

(Oh lalala) cheusi mangala, wakanda
(Oh lalala) tukale sangara, wa mwanza
(Oh lalala) nywele chotara, kinanda
(Oh lalala) geto papara misamba
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?