0
Yanga Mwamba - Rayvanny
0 0

Yanga Mwamba Rayvanny

"Yanga Mwamba" by Rayvanny, released in 2021, is a vibrant #Afrobeats track celebrating love and admiration. The lyrics express deep affection and devotion, highlighting the beauty and strength of a partner. Its catchy rhythms and melodic hooks showcase Rayvanny's signature style, contributing to the growing global appeal of Tanzanian music.

Yanga Mwamba - Rayvanny
Nawaleta mabingwa wetu muwaone
Nawaleta mabingwa wetu muwaone
Yanga hawa hapa
Yanga hawa hapa
Yanga hawa hapa
Yanga hawa hapa
Namleta Rais Hersi mumuone
Namleta GSM Bosi mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa

Mabibi na mabwana
Nawaletea mabingwa hao

Kwanza tukifa hatuozi yanga
Hatuna matatizo yanga
Yanga hatuna baya Yanga
Yaani tumenyooka
Tulizunguka kila kona
Kutafuta furaha ya moyo
Mungu katupa Yanga inayotufaa
Makolo najua inawachoma mkaroge
Tanga Bagamoyo
Mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?