0
Toka Mapema - Wakadinali
0 0

Toka Mapema Wakadinali

Toka Mapema - Wakadinali
Big beats, beats, beats afriq
Utatoka mapema, Wakadinali aah
Utatoka mapema aai
Aah natembeza kalesa mbaka Jerusalem
Moshi, ni ya mavela ju sijai gusa ngem
Chopi, mnaweza sema ati kamusi ndio brain
Hii ni kikosi imepewa ma hallucinogen
Na ni revolutionary, makali ndio inayonifanya
Nibaki na liver nusu yani, Judas kunibusu yani
Ndio anidunge mishumari (mishumari)
Hata ukuje kisu nami, nimejiamu kisunami
Siwezi block wacha iende crazy cock
Cheli kende, helicopter na rende ya macops
Na ma media
Hii ni ya, hii town ndani ya, hii sound
Deep down wanajua nakalia, hii crown
Utahitaji kipaji ndio ucheze hii cardi
Key paddy ndio ufunge hii kazi
Itaa adi Paddy ndio akufafanulie deep adi
Keep adding adding adi ndio upate ni kipaji
Utatoka mapema, utatoka mapema
Ukileta rapsha ni rapturе itafwata
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema aai, utatoka mapеma
Utatokamapema, utatoka mapema
Hii vacation twakesha ukikerwa
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema utatoka mapema aai
Soma mbali kakidof stafs
Niliamua nidivorce cheques ndio nideposit cash
Napiga biz, river valleys nazicross plus
Soko ni ya muda so as to ask
Offer valid wali stocks last, mwaga weird at last
Nikitema pema waria, vitu naspit na adhere
Ni same na Ken wa Maria
Madha alisay usiajiriwe ndugu, tumia kipaji
Nairobi kuishi ni ujanja, nguvu tumia kishagi
Nacamp venye mambo hugeuzanga magamba malaya
As if ni cotton kule TZ huita pamba mavazi
Ikiwa kwa hili kazi mi ndio fire mabars ambia hata mafuns
Wacheki venye lyrical gangster namada maverse
Mi hugamble ka mbuzi casino venye card nachew
Simba ikiact a fool, nikiita inadishi pasture tu
Wanashtuka venye nashikanga moto plus nacool
Anzisha fracas niko fractures, ni ma plasters tu
Utatoka mapema, utatoka mapema
Ulileta rapsha ni rapture itafwata
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema aai, utatoka mapema
Utatokamapema, utatoka mapema
Dem' vacation twakesha ukikerwa
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema utatoka mapema aai
Eei mc si ya brikiwa para, since mziki wa daraja
Wakadinali wantang'aa, ju si tunaishi kwa fanaka
Huskii kwa dhiki na faraja (yeah)
Huskii kwa dhiki na faraja
Huskii kwa dhiki na faraja (eeh)
Eei mc si ya brikiwa para, since mziki wa daraja
Wakadinali wantang'aa, ju si tunaishi kwa fanaka
Huskii kwa dhiki na faraja
Huskii kwa dhiki na faraja
Huskii kwa dhiki na faraja
Utatoka mapema, utatoka mapema
Ulileta rapsha ni rapture itafwata
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema aai, utatoka mapema
Utatokamapema, utatoka mapema
Dem' vacation twakesha ukikerwa
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema utatoka mapema aai
Utatoka mapema, utatoka mapema
Ulileta rapsha ni rapture itafwata
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema aai, utatoka mapema
Utatokamapema, utatoka mapema
Hii vacation twakesha ukikerwa
Utatoka mapema, utatoka mapema
Utatoka mapema utatoka mapema aai
Utatoka ma
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?