[Verse 1: Zuchu]
Mon chérie 'je t'aime beacoup
Penzi lako gundi, nimenasa
Mon chérie, kama uchawi upo
Mganga wako fundi 'hasa hasa
Eh, mwamvuli wangu
Moyo umeufunika
(Wewe ndo)
Kiboko yangu
Unaejua pakunishika
[Pre-Chorus: Zuchu]
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako 'uchukue
[Chorus: Zuchu]
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
Mon chérie 'je t'aime beacoup
Penzi lako gundi, nimenasa
Mon chérie, kama uchawi upo
Mganga wako fundi 'hasa hasa
Eh, mwamvuli wangu
Moyo umeufunika
(Wewe ndo)
Kiboko yangu
Unaejua pakunishika
[Pre-Chorus: Zuchu]
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako 'uchukue
[Chorus: Zuchu]
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.