(Yaw Yaw)
Yebooo
Konde boy call me number one
So much money in the bank money
All dem girls call me honey
Only your love can turn me to a mad man
Leo nakuto...totoo nakutoa kwenu uje kwangu
Nina hamu yakuto...totoo kutoa mahali uwe wangu
Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
(Mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
Leo nataka kukuto...too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto...too kutoka na wewe
Jiandaе leo na kuto...too kutoa out

(Yеbooo)

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.