Oh garuko garuko garuke
Oh garuke mwana wange
Oh garuko garuko garuke
Oh garuke mwana wange

Ayee balindi niwe wanyu
Balindi niwe wanyu
Balindi niwe wanyu
Na marefu umepita mwanangu



Tangu umefunga safari yeah yeah
Kurudi nyumbani uje uone hali yangu
Nakosa chumvi sukari yeah yeah
Kila siku nakonda kufikiria sembe
Wapi nitapata mboga familia iende
Baba yako mgonjwa hashiki hata jembe
Kutoka ’91 sina kipya kitenge

Kafukuzwa shuleni, mdogo wako Jane
Na mengine sisemi maiyoo
Sikai sebuleni nikiona wageni
Nakimbia madeni maiyoo

Nitarudi mama, mama
Nitarudi mama, mama
Nitarudi mama, mama
Nitarudi mama, mama
Nitarudi mama, mama
Nitarudi mama, mama
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?