0
Best Woman - Harmonize
0 0

Best Woman Harmonize

Best Woman - Harmonize
Mmmh Mmmh Mmmh

Cough Cough Cough

Mara Kumi Nifungwe Jela Miaka Mingi Kama Mandela

Ama Nifiege Huko Huko Bora Nifiege Huko Huko

Kuliko Kukuona Unateseka Mum Ukiteseka Moyo Unapata Tabu

(Cough)

Kuna Muda Mwingine Nakukera Bhasi Nakupoza Navidera Mitaa

Na Mazaga Ya Kariakoo Na Vitu Vya Baridi Upozee Koo Yanaisha Tunacheka

Vimba Mama Ringa Deka Maana Una Kila Sababu

Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo

Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You

Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia

Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?