0
Singefanikiwa - Wakadinali
0 0

Singefanikiwa Wakadinali

Singefanikiwa - Wakadinali
[Intro: Domani Munga]
Eya, Eya, Eya

[Hook: Domani Munga]
Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia
Ilikuwa kidogo nishalose hope
Sikudhani ningefanikiwa
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia
Ningefanikiwa
Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa
Ilikuwa kidogo nishalose hope
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa
Ninge—, Ningefanikiwa
Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa
Ilikuwa kidogo nishalose hope
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa
Ninge—, Ningefanikiwa
Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa
Ilikuwa kidogo nishalose hope
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa
Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

[Verse 1: SewerSydaa Mkadinali]
Yo yo yo, yo yo yo
Hatudai utiaji joh hatudai urazi
Hatujali ka we tas ama mzazi
Hatuko ithaa ya hio ganja ama mgazi
(Yo, yo, yo, yo, yo)
Tuko ithaa tu ya ganji
Ingia kwa M-Pesa toa pesa patia Essence
Diamonds si huvuna tukiwa na pressure
Addictive design tuko chini ya brown ka desert
Naskia Sand-Sand-Sandy anataka tressure
Silence ndo the best treatment
After show mi hudancigi my way to the githe
Yahoo boyz hufika my bei thanks to mnite
Msistren anataka nidiste ju ya mnithe
Na live na hope ni ka niko Kamiti ju ya dope
Wakatoliki naskia wanapraisingi Pope
Mi nko huku chini joh naget high on coke
Popote pahali nmefika na give thanks to God
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?