(It's Jegede on the Beat)
[Chorus: Everlast and NaiBoi]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa
Na tuko tu Pacho kwenye boss iko nini
[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
[Verse 1: NaiBoi]
NaiBoi (Kwani boss...)
Kusema kweli baby mi ushanichanga
Ntakulinda kama kuku na vifaranga
Na Mimi Sitakucheza kama kandanda
Nikikucheki roho hupiganga kama kinanda
Nacheki kuna so much more
Njoo unipe me alone
Wachana na hawa ma yo yo
Mi sinanga story noooooo
Kwa keja yetu viti zina makitambaa
Na mother hatakangi nilete wasichana
So baby twende tupitie route panya aaaaaaa
[Chorus: Everlast and NaiBoi]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa
Na tuko tu Pacho kwenye boss iko nini
[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
[Verse 1: NaiBoi]
NaiBoi (Kwani boss...)
Kusema kweli baby mi ushanichanga
Ntakulinda kama kuku na vifaranga
Na Mimi Sitakucheza kama kandanda
Nikikucheki roho hupiganga kama kinanda
Nacheki kuna so much more
Njoo unipe me alone
Wachana na hawa ma yo yo
Mi sinanga story noooooo
Kwa keja yetu viti zina makitambaa
Na mother hatakangi nilete wasichana
So baby twende tupitie route panya aaaaaaa
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.