[Intro]
(Eyuh Chino you again?)
[Chorus]
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
[Verse 1]
Just receipts zako ni vibes izo sare
Ati hizo mameno za yellow ni mangale
Ushaiji find situation una kingwelo bila nare
Siku hizi hadi wanakuuzia bale wasee wa maremare
Leo network blunder poor connection
Mbleina kwanza alikulwa kwa warosho
So ka una kigode nina nare
Hizi sides utaambiwa ati marengwa ni ngware
Ka ki- ucorona si usare
Yuts hadi wa leo mahali tumekalia ni kwa mawe
Network blunder poor connection
Network blunder poor connection
(Eyuh Chino you again?)
[Chorus]
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
[Verse 1]
Just receipts zako ni vibes izo sare
Ati hizo mameno za yellow ni mangale
Ushaiji find situation una kingwelo bila nare
Siku hizi hadi wanakuuzia bale wasee wa maremare
Leo network blunder poor connection
Mbleina kwanza alikulwa kwa warosho
So ka una kigode nina nare
Hizi sides utaambiwa ati marengwa ni ngware
Ka ki- ucorona si usare
Yuts hadi wa leo mahali tumekalia ni kwa mawe
Network blunder poor connection
Network blunder poor connection
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.