[Intro]
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
[Verse 1: Otile Brown]
Ooh bizee napiga hela kama benki
Wanaiga swagga ila haiketi
Look sipigi hutokuta navaa feki
Leo Gucci au Prada
Pengine glasi za mkata
Nakata madem kali zaidi ya Donna Tanasha
Simba wenu mlanyasi meno haiga nyama
Sishoboki hata ngoma zikibuma
Still Sipendi mazoea
Hata ukinichekea nauchuna
[Hook]
Baby whats your name? kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasi wasi
Na kama tinga linazima ita taxi
And it's all on me
Bado nasoma namba
Napenda watoto hii darasa
Punguza selfie nitakukacha
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
Aaah aah... Aaah aah
[Verse 1: Otile Brown]
Ooh bizee napiga hela kama benki
Wanaiga swagga ila haiketi
Look sipigi hutokuta navaa feki
Leo Gucci au Prada
Pengine glasi za mkata
Nakata madem kali zaidi ya Donna Tanasha
Simba wenu mlanyasi meno haiga nyama
Sishoboki hata ngoma zikibuma
Still Sipendi mazoea
Hata ukinichekea nauchuna
[Hook]
Baby whats your name? kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasi wasi
Na kama tinga linazima ita taxi
And it's all on me
Bado nasoma namba
Napenda watoto hii darasa
Punguza selfie nitakukacha
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.