[Chorus: Dyana Cods]
Damn, take me back into your world again
I feel like I'm loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The world gets tougher I cry
Lord knows I'm trying gotta keep my head up
Aaah aah aah ah ah, there are better days ahead
Por favor, señor
Por favor, mi amor
Ah, señor caliente
[Verse 1: Scar]
Idhaa inaticktock
Nadai kupaa before nifike forty
Na bado ni kupick pocket ma pill popping
Kujikoki but we still hoping
Watakuja kututoa hizi streets sote
Nikaambiwa ni wera tu itanitoa nisijichoche
So east ni kupoa manze feel at home
Wameondoa wengi wetu but they can’t kill us all
Maisha ngori mi nakula mikos
Hakuna building jini sijaingia human resource
Ka na smile ni ya vako bidi nijajiforce
Ka ni kuburn babylon hiyo story tunarepost
Mara eti niachange ujanja nichukuе mbuku
Mi fala nilitokea tao bana na kifua tupu
Wakule nyama si tukose hata kukunywa supu
Bеtter days inakam kujitoa huku (kujitoa huku!)
Ama hata nifufue shosh akam through tuchukue photo

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.