0
Number One - Diamond Platnumz
0 0

Number One Diamond Platnumz

Number One - Diamond Platnumz
[Intro: Diamond Platnumz]
Wasafi
Clever Touch

[Verse 1: Diamond Platnumz]
Kwanza mapenzi safar
Ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani
Pili tumetoka mbali kwa matatizo changamoto
Tuvisa visa fulani…
Oh! Tatu kidonda chaku kwangu maradhi
Matusi usononekapo kwangu simanzi
Aii! Tatu kidonda chaku kwangu maradhi
Oh, yani usononekapo kwangu simanzi
Kwa mahaba ulionipa, nimenogewa
Vurugu patashika, aah! Punfuza kidogo
Na mengine kadhalika, mtoto si unanielewa
Apo apo uliposhika, ukiongeza kidogo
Mmmh, mwenzako ntaumia (ooh, ooh, ooh)


[Chorus: Diamond Platnumz]
You're my number one
My sweetie sweetie (number one)
My baby oh (you’re my number one)
My darling, my number one
Oh, roho yangu mama
My number one
My sweetie sweetie (number one)
My baby oh (you’re my number one)
Oh, roho yangu mama
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?