[Verse 1]
Hello, hapo vipi sijui unanisikia?
Hello, na maneno natamani kukwambia
Hello, tafadhali usije nikatia
Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana
Na mama yaani, twakuwazaga
Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?
Na aunty Shani, wa Chimwaga?
Ah ah, kile kidonda changu cha roho
Bado kinanitia tabu
Najitahidi kukaza roho
Ila nazidisha adhabu
Tena silali oh
Nasubiri maajabu
Maumivu yangu hayajapata dawa
[Chorus]
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby
I miss you (nakukumbuka iye iye)
I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama
I miss you (nakukumbuka iye iye)
[Bridge]
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
Ah nikikuwaza (bigili bigili)
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)
Hello, hapo vipi sijui unanisikia?
Hello, na maneno natamani kukwambia
Hello, tafadhali usije nikatia
Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana
Na mama yaani, twakuwazaga
Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?
Na aunty Shani, wa Chimwaga?
Ah ah, kile kidonda changu cha roho
Bado kinanitia tabu
Najitahidi kukaza roho
Ila nazidisha adhabu
Tena silali oh
Nasubiri maajabu
Maumivu yangu hayajapata dawa
[Chorus]
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby
I miss you (nakukumbuka iye iye)
I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama
I miss you (nakukumbuka iye iye)
[Bridge]
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
Ah nikikuwaza (bigili bigili)
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.