0
Mwenyewe - Harmonize
0 0

Mwenyewe Harmonize

Mwenyewe - Harmonize
Tisin na nne march fifteen
Begin of my world
Nilipozaliwa nikadondoka chini
Hakukua na kitanda kwa word
Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro
Na kilichonikusa mihogo na viporo
Nilipolekwa shule ila bado nikawa mtoro
Kingereza nlichokalili labda tomorrow ama today
Zikafika time ya kubalehe
Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi
Ni ujinga

Nikadondokea umachinga
Hapakuchi panakucha siku zikasogea
Pruuh mpka darsalaama nikaanza jitegemea
Nyumbani baba na mama wakiniombea
Mwanetu nenda salama na ukipata lejea
Mmh na ukipata
Hapo akili ndo ikaanza kukomaa
Na nikajuta kwann sikusomaa
Jinsi jua la utosi linavyochoma
Na usiku baridi ilanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh
Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa
Kwa ajili ya vitu vidogo sigomban na maselaa
We kubali kudharauliwa
Kukataliwa
Kupata majaliwa
Kula kinacholiwa
Mwenyew
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?