I’m on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I’m on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe
I’m on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I’m on a romantic call
Better option ni wewe
Leo nimebuy bamba, let mamako tuongee
Tulikosna tangu masikio nitoboe
Hii number ni ya msee wa movie hapa baze
Usireply hata akikutext
Uliwacha kubonda
Tangu kuku zenyu ziende missing
Mliacha kushuku ule mkisii
Kuna ukame, na I hope babako aliunda fence
Naogopa sana ukuliwe na fisi
I’m on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I’m on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe
I’m on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I’m on a romantic call
Better option ni wewe
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Baby panda mti kama network ni blunder
I’m on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe
I’m on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I’m on a romantic call
Better option ni wewe
Leo nimebuy bamba, let mamako tuongee
Tulikosna tangu masikio nitoboe
Hii number ni ya msee wa movie hapa baze
Usireply hata akikutext
Uliwacha kubonda
Tangu kuku zenyu ziende missing
Mliacha kushuku ule mkisii
Kuna ukame, na I hope babako aliunda fence
Naogopa sana ukuliwe na fisi
I’m on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I’m on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe
I’m on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I’m on a romantic call
Better option ni wewe
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.