0
Rong Cypher - Wakadinali
0 0

Rong Cypher Wakadinali

Rong Cypher - Wakadinali
[Verse 1: Scar Mkadinali and Domani Mkadinali]
Uh, ka hainibambi, hainibambi
Scene tukiipiga, tunaiwacha maridadi
Yo, yo, yo, wanatuita mabani
Kwani tumeshikwa tukaachiliwa mara ngapi? (Ay, ay, ay)
Rada ni chafu na sisafishi
Hii budget haitoshi, ukikuja kwangu, naficha dishi
Yeah, yeah, yeah, rende ni chafu, wachachisha nini?
Mi ni ratchet, mtu wangu, na sababu ni sitaki rafiki
Underground, still superstar, how?
Nafanya mpaka ma-rapper wanashtuka style zao
Niko full mzuka, naweza fungua duka side zao
Vile mi husuka, mi ndio sultan, you can find out, uh
Hii ni maji moto, sufuria ya pili
Si tulipewa kikombe, kitu nyi mlipewa ni pena mbili
Yo, today na-seem sensi, bila sim-simmer
Tuko East na tunashikisha ati kushinda Meru mzima

[Interlude: Domani Mkadinali]
La, la, la, la, la, la, la, Rong Rende
Yo, yo, yo, yo, yo, yo, yo
(BigBeatsAfriq)

[Verse 2: Domani Mkadinali]
There’s a jungle out there na mi ndio monkey king
Top ah di top kwa kila list, cheki marking scheme
Nawacheka juu macho zangu ziucheki micro things
Sijawahi ekanga tat, naogopa ku-run out of skin
Mi hu-work for extra cheese ndio nipatie pedi pie
Mistari zile fresh na Rong Rende, mi si yule mbaya
Studio kit is very fine, wacha ni-verify
Chang'aa kwa jerrycan nikitangazia Behringer
Very fast, nilikwara mafala kuni-derail
Mi vacation CBD, nyi endeni Ole Sereni
Yaani ile gwas, yaani mithili ya electric train
I took a step yet again on enemy terrain
Mi hubeba stock ya mwezi yote
Huwezi nipata na plug, kando shokde
Vela ilidunda, ah, ikabaki nirokote
Juu sisi ukiwakisha kama Catholic Church candles zote
Sisi tuko on, tukuwe high, twende heaven kama monk
Hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong
Ninalangi fake, leo ninataka blunt, hapana bong
Tunazidu both kwa kolo kwa kiko, kill mpaka local
Unless you're an asshole, huku zetu nikuhesabu maweng’
Ambia Arsenal, tuliachia Abu mayengs
Babu wa Swaleh, I'd rather die only in exile, niende away
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?