0
Take Me To Church [Drill Remake] - NAFFARiOH (Ft. Hozier)
0 0

Take Me To Church [Drill Remake] NAFFARiOH (Ft. Hozier)

Take Me To Church [Drill Remake] - NAFFARiOH (Ft. Hozier)
Uyu bruv alicheza na stima akazimwa (Kwendaa!)
Manzi kuingia tu kwa box akalimwa,teamwork
Iko huku nje inaimbwa
Buda wacha tu nisi-continue,meanwhile
Jina kuheshimu ni lazima,jina ni MESSIAH ndo nilibatizwa
Jina ni MESSIAH ndo nilibatizwa
Jina ni...

Tukifikafika scene si unajua joh ni mazza
Fuck that!
Abrupt
Messiah ni badman
Awa ma rapper wote tunawapatia half term
After
Tumetematema tumeleta io disaster
Tanker
Zetu joh daily ni ma-spliff na kukata
Puff puff
Na tukishapiga tuna pass pass
Tap tap
Tunaadisia tuki-lack barz
Up up
Ndo tunaishia tuki-have fun
Whap Whap
Ndo unatuskiza tu kwa bath tub
Ati manzi kaa ni wako mbona ananipea lap dance (Mbona?)
Kaa ni beat tunamada na tuna-close io chapter
Solo tu kwa crime,si anajua sinanga partner
Ma O P P, wanapigwa tu ki bloodbath
As long as kuna ganji,si unajua mi niko vacant
Tuko on the run from the feds,cheki man hunt
Nafungua church,na ndo nasaka ma-PASTOR
Omnii-present Spotify mpaka Napster
All in my zone,tuko locked tuko hapa
Life ni ma ups & downs,I can back that
Life ukuwanga tricky but saii yangu iko fuckеd up
Fuck that!
Tukisongasonga tunasonga na io pattern
Bruv usi-simp,usitrip usifambal
Story bila doh,si unajua mazee ni blunder
Plumber
Yе ucheza na ma-pipes,buda mi humwitanga plumber
Shut down
Tukifika stage,si unajua tuna shut down (SHUT DOWN!)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?