[Intro]
A-A-A, AM Records
[Chorus]
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Mana!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Mara!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
[Verse 1]
Ah!
Sikujua mapenzi bala
Tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha
Yanajenga chuki na choyo kwenye cover
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua
Licha ya burudani
Ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtani
Kaamua kutimua inaniuma sana
A-A-A, AM Records
[Chorus]
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Mana!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Mara!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
[Verse 1]
Ah!
Sikujua mapenzi bala
Tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha
Yanajenga chuki na choyo kwenye cover
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua
Licha ya burudani
Ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtani
Kaamua kutimua inaniuma sana
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.