[Intro]
S2Kizzy baby

[Verse 1: Jux]
Sensima
Mtoto mpe funguo za bima
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China
Toto, Zipu ka kishungi nimezima
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner, yeah
Santana, santana (guitar)
Kitandani maji maji yanapambana (vita)
Kana inama, kana inama
Kanavyo iokota kama maua sama
Paka rukwili kwili siko peshi (siko peshi)
Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki)
Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi)
Kamenikiri kiri mara murder case
Asa nionyeshe alichokupa mama

[Chorus: Jux & Diamond Platnumz]
Sugua! Sugua! Sugua!
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa) [It's Platnumz]
Sugua (ahaahaaa) [Heeh! Zombie]
Sugu, sugu, sugu
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?