[Verse 1]
Si Kokoko Si Kandambili
Yani Vyote Havikupendezi
Mwana Ngoko Usonawili
Tope Bin Uterezi
Utaishia Kututabiri Tubomoke
Inasonga Miezi
Mola Amesha Takabiri
Usijichoshe Halivunjiki Penzi
Ona! Umekosa Nuru
Umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru
Ukifika Wananuna
Ndondondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna
Mengine Nisikufuru
Hhmm! Hazikukai Maskara
Wala Makeup Zinakushuka
Uso Umekuparara
Mwili Shockup Zimetenguka
Uso Sauti Ya Stara
Pakudeka Unawehuka
Jibwa Koko La Mbagala
Unabweka Na Kubwetuka Wala!
[Chorus]
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Si Kokoko Si Kandambili
Yani Vyote Havikupendezi
Mwana Ngoko Usonawili
Tope Bin Uterezi
Utaishia Kututabiri Tubomoke
Inasonga Miezi
Mola Amesha Takabiri
Usijichoshe Halivunjiki Penzi
Ona! Umekosa Nuru
Umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru
Ukifika Wananuna
Ndondondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna
Mengine Nisikufuru
Hhmm! Hazikukai Maskara
Wala Makeup Zinakushuka
Uso Umekuparara
Mwili Shockup Zimetenguka
Uso Sauti Ya Stara
Pakudeka Unawehuka
Jibwa Koko La Mbagala
Unabweka Na Kubwetuka Wala!
[Chorus]
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.