Walisemaga duniaaaa
Ina mapambo yake
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake
Nimezunguka nimefika kwake
Siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lake
Rabana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Hata mama kakusifu sana
Ni tofauti na wale wa jana
Kule nilizama
Tafadhali niokoe mama ma
Unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only
Sitopenda wende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Ina mapambo yake
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake
Nimezunguka nimefika kwake
Siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lake
Rabana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Hata mama kakusifu sana
Ni tofauti na wale wa jana
Kule nilizama
Tafadhali niokoe mama ma
Unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only
Sitopenda wende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.