0
Boss - Harmonize
0 0

Boss Harmonize

Boss - Harmonize
Yaw Yaw

Cough Cough Cough

Boss Boss Boss Boss

Mmh Leo Boss Kazaliwa Misosi Mitungi Imelipiwa

Wanangu Leo Boss Kazaliwa Kunywa Taratibu Utapaliwa

Mmh Kwanza Shukurani Ziende Kwa Manani

Wazazi Ndugu, Majirani Kata Keki Ipo Mezani

Iih Boss Kazaliwa Ai Boss Uzidi Barikiwa Punguza Marafiki Wa Mitandao

Baki Na Marafiki Unaohustle Nao Mh Hatutaki Machawa Wa Mitandao

Kata Keki Na Wana Uliochuma Nao Iih Boss Kazaliwa Ai Boss Uzidi Barikiwa



Happy Birthday Boss

Happy Birthday Boss
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?