Dhamani yako
Uzuri wako
Naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Raha ili mradi unanipenda
Peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi
Pengine uniache wewe
We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuuh Achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya
Baby love
Wewe wangu mimi wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina
Na maneno yao
Baby love wewe wangu mimi
Wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina
Na maneno yao
Uzuri wako
Naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Raha ili mradi unanipenda
Peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi
Pengine uniache wewe
We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuuh Achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya
Baby love
Wewe wangu mimi wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina
Na maneno yao
Baby love wewe wangu mimi
Wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina
Na maneno yao
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.