[Verse 1]
Kabla suala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki, wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu
Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda
Ona mahayawani
[Chorus]
Hayayayaya
Hayawani hawa si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama
Hayawani Hayawani Hayawani
Hayawani Hayawani Hayawani
Hayayayaya
Kabla suala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki, wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu
Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda
Ona mahayawani
[Chorus]
Hayayayaya
Hayawani hawa si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama
Hayawani Hayawani Hayawani
Hayawani Hayawani Hayawani
Hayayayaya
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.