0
Napambana - Zuchu
0 0

Napambana Zuchu

Napambana - Zuchu
Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala
Cha kukila sijui, bora hata pa kulala
Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara

Eh kwachakwacha, nakwenda nakwenda
Sijakubali kudoda hii ngoma haisambii
Na ndoto za alinacha, sijapenda sijapenda
Aliekupa kigoda, mi atanipa kumbi

Eh nipate ntoke patupu (kawaida iyo)
Siku nzima niambulie buku (ndo yakwangu sijaiba iyo)
Usiniulize naishije mjini (napambana)
Niokote machupa niuze siso (napambana)
Hata nkidanga jama niacheni (napambana)
Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
Haaa, eeeh, iiih (napambana)
Aaah, eeeh, oooh (napambana)

Mama Mkubwa Lemukuu
Khadija Kopa
Boss Dela Boss
Mama Dangote

Majiamdimu majiamdimu
Saga saga saga saga
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?