Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina
Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima
Nilishafuta namba zako
Nikachoma picha zako
Sikujali ulivyoliaa
Mbele ya mashoga zako
Nikasema uende zako
Nguo nikakutupiaaa
Na zaidi, uliuguza vidonda
Kwa vipigo, manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda
Niko bize kucheat, nafungua zipu
Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza,miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima
Nilishafuta namba zako
Nikachoma picha zako
Sikujali ulivyoliaa
Mbele ya mashoga zako
Nikasema uende zako
Nguo nikakutupiaaa
Na zaidi, uliuguza vidonda
Kwa vipigo, manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda
Niko bize kucheat, nafungua zipu
Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza,miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.