(Yogo on the Beats)
My gal we ni matata, body matata mbaya eeh
Bwana mdogo umenikamata, unanicheza kama karata
Tulikutana kule Cape Cape town
Mpaka Accra Town dowtown, eeh
Eti una sifa za kudanga
Na mengi wanasema sijaona
Wivu umewaingia, Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
Wivu umewaingia, Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
Wakiniona wananiita (Bwa mdogo)
Bwana mdogo, bwa mdogo
Hawajui ninachofanya mi (Bwa mdogo)
Bwana mdogo, bwa mdogo
Nikitema unashiba (Bwa mdogo)
Bwana mdogo, bwa mdogo
Kilimanjaro napanda mie (Bwa mdogo)
Bado bwana mdogo, bwa mdogo
Mmmh yeah yeah yeah

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.