0
Love song - Wakadinali
0 0

Love song Wakadinali

Love song - Wakadinali
[Chorus: Domani Munga]
Ride expe ni ya mbaru
Huyo amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro, weh ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon, Stepper mtu wangu kwani ziliraru?
Get well soon, naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mjuniour wa daycare

[Verse 1: Domani Munga]
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
Shash ni important
Yout kiombitho manze ukimseti ni za ovyo
Economy ya karao ni mahongo
Learn kumgei hizo mikosi zilet go
Kuzidisha tenants ni waoga
So bunde nikizidisho
Mi hudema Nairobi kwa rentals
Nilidhani ni mavlogger kumbe ni Patanisho
Mdem alinireport kwa radio
RIP guka ye ndo alikuwa na maBob ka Wailers
Bash alinibuyia rottweiler
Rongboy na sikucheza, wong ni whichever
Tuko broke bila cheddah hepa
Hatari kwenye lango kama hatujaknock tuko wera
Nguna na si freelancer anachinjiwa hadi Sri Lanka
Game za paka na panya hapana
Kachumbari mi huongeza spice hata pasta
Tulipatana na dem ameivisha ameshanyanya
Machaji huku njei ni pastor Ng'ang'a
Ni juzi tu aliivishia mbang'a
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?