0
Such kinda love - Otile Brown (Ft. Jovi'al)
0 0

Such kinda love Otile Brown (Ft. Jovi'al)

Such kinda love - Otile Brown (Ft. Jovi'al)
[Intro]
Mmm
Mmm
Mmm

[Verse 1: Jovial]
Kama ndege wa angani, samaki wa majini
Nami Mungu kanipa pa kukaa 'kando yako
Nina furaha na amani, mapenzi ya dhati
Unayo nipa sijawahi ona
And I need you, kifo cha mende chali (Enhe)
Body to body (Enhe)
Monday to Monday
And I need to party to party (Enhe)
Monday to Monday (Enhe)
Oh, baby do me like it’s my birthday

[Chorus: Jovial & Otile Brown]
I’ve been around the world but never seen such kinda love
Such kind of love, such kind of love
I've been around the world but never seen such kinda love, such kind of love, such kind of love, oh baby

(Vicky Pon Dis)

[Verse 2: Otile Brown]
Elewa wewe, wewe
Wewe wangu wa moyoni
Ulivyonijaza hadi pomon, hakika mwengine sioni
Elewa wewe, wewe
Wewe wangu wa moyoni
Ulivyonijaza hadi pomoni, hakika mwenginе sioni
Wewe zawadi, wewе wa thamani kanipa maulana, oh maulana
Wewe zawadi, wewe wa thamani kanipa maulana, oh maulana
Wooh!
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?