0
Kuna Siku Youths Wataungana - Wakadinali (Ft. Sir Bwoy)
0 0

Kuna Siku Youths Wataungana Wakadinali (Ft. Sir Bwoy)

Kuna Siku Youths Wataungana - Wakadinali (Ft. Sir Bwoy)
[Intro: Domani Mkadinali]
Uh, uh

[Chorus: Domani Mkadinali]
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

[Verse 1: Domani Mkadinali]
Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
Ubesh Chege eventually chunga
Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
Ndio tuchokeshe njege, Kibronji aliisunda
Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa
Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
Kuna watu wa ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster
2020 hawataki trouser kuwararukianga rasa
Tukivunjwa goti, bila ku-show ka Hussein Machozi
We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi
Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
Naiwasha ndani ya ploti bila ku-doze
Wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi
Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara moja
Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?