[Verse 1]
Wengi walisema kwamba sitaweza kukutoa kwa ghetto
Waling'ang'ana sana tuangamie kwenye scandal
Mbona binadamu wanapenda kuingilia mambo ya mapenzi
Kati ya watu wawili, Wewe na mimi
Hayawahusu mambo yetu ya siri
They should know better, know better
That our love can only get better and better
Kwenye mapenzi mi nd'o Professor, Professor
Nitakutibu I'm your love doctor, love doctor
They should know
[Chorus]
Everyday, Everyday
Tous les jours je t'aime ma baby
Everyday Everyday
Tous les jours je t'aime ma cheriе
Everyday, Everyday
Tous les jours jе t'aime ma baby
Everyday Everyday
Tous les jours je t'aime ma cherie
That's how long I'm gonna love you
[Verse 2]
We nd'o natafta, the one I've been after
God only knows vile we hukua umenimada
Na sa nimekupata, mablogger watanitafta
Mastory mitandao sio your heart niko after (Ah)
Wachana nao, unfollow na usahau (Ahh)
Mafala hao, wachunge nyumba zao (Mhh)
Everyday kama breko lunch na supper
Nikupatie mahaba mpaka upige chafya (Chuu)

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.