0
Imaginary Love - Otile Brown (Ft. Khaligraph Jones)
0 0
Imaginary Love - Otile Brown (Ft. Khaligraph Jones)
Eeeh mie bwana
Yeah what'up Otile Brown
Tayari ushajua Jones
It's you boy Khaligraph Jones
Eeeh mie bwana
Dadicated to all beautiful girls

Nakupenda hata zaidii ya navyojipenda mwenzio
Na hayo maisha hayana thamani zaidi yako
Ninakuhitaji zaidi ya chochote kile ninachokikosa
Na nitapoteza kidogo nilichojaaliwa nikifika nakukosa aah
Ninakupenda we wajua ah niteketea kwa ajiri ya dhambi zako
Ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa
Na wewe ni mimi na mimi ni wewe
Mi nawe kitu kimoja ah
Ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
Hata nikiwa mbali na wee eh

Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
Penzi li ni kama lile la Romio na Julieth
Hakunaga kile nisiloweza fanya
Hakunaga kile nisiloweza fanya

Wanaodai wamezaliwa pamoja
Mimi na wewe tuliumbwa pamoja
We ni nafsi nami niroho
Watu wawili wamoja
Penzi lisilofananishwa
Penzi lisilolinganishwa
La kipеkee eh oho
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?