[Verse 1: Nyashinski, as Nakiri]
Ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
Ningekuwa na jamii ya ma-Sadaam ka wasaba na
Mabunduki na makofia ka bilauri
Bidhaa za kujijali tu hali ni shauri
Skiza sauti kutoka Kenya mpaka Saudi
Arabia maajabu ya Musa, Firauni
Huyu kijana anafanya vipusa wa towni
Wavue mashati ma-panty ni kama wao ni
Wendawazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa
Rap naifanyia chapaa
Na ma-fans wanaonipenda jamaa
Sa hata ukinichukia siwezi jali ata (siezi jali!)
Ka wee ni MC stick to the wax
Unafaa kuweza kutumia hip hop na other tracks
Si kuchukia wadhii juu wanatawala industry
Na wee bado uko huko chini
Kabla jina yako i-grow jipe miaka ka nane
Ka lazma nikutukane ndio ujulikane
Hip-hop ni culture ya love, usisahau
Pole kukuambia sikuchukii, nakudharau

[Hook]
Tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (endelea!)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?