
In Case You Didn’t Know Jux. (Ft. Nyashinski)
На этой странице вы найдете полный текст песни "In Case You Didn’t Know" от Jux. (Ft. Nyashinski). Lyrxo предлагает вам самый полный и точный текст этой композиции без лишних отвлекающих факторов. Узнайте все куплеты и припев, чтобы лучше понять любимую песню и насладиться ею в полной мере. Идеально для фанатов и всех, кто ценит качественную музыку.

Its Bob Manecky
Iyee
[Jux]
Ni maradufu
Upendo wako umenifaa
Ni maradufu yeah yeah
Uwepo wako umetawala
Nikiwa pekee yangu (bado bado)
Sijakamalika (bado)
Hata mipango yangu (bado bado)
Inavurugika (bado)
Hakuna anayezidi kwako mama
Nguvu ya mapenzi yako (balaa aah)
Umenifanya nijione bora
Bila wewe mi siwezi ng'ara
Hakuna tena zaidi yako mama (zaidi yako)
Nguvu ya mapenzi yako balaa (mapenzi yako balaa)
Umenifanya nijione bora (nijione bora)
Bila wewe mi siwezi ng'ara no no
(Chorus) [Jux]
In case you don't know (iye)
Nitacheka nawe
Nitacheza nawe (iye)
Nitaimba na wewe
In case you dont know (iye)
Nitaringa nawe
Nitakwenda nawe (iye)
Popote my baby girl
In case you dont know (iye)
Nitacheza nawe
Nitaimba nawe (iye)
Nitakwenda na wewe
In case you don't know (iye)
Nitacheza nawe
Nitaringa nawe (iye)
In case you don't know
Iyee
[Jux]
Ni maradufu
Upendo wako umenifaa
Ni maradufu yeah yeah
Uwepo wako umetawala
Nikiwa pekee yangu (bado bado)
Sijakamalika (bado)
Hata mipango yangu (bado bado)
Inavurugika (bado)
Hakuna anayezidi kwako mama
Nguvu ya mapenzi yako (balaa aah)
Umenifanya nijione bora
Bila wewe mi siwezi ng'ara
Hakuna tena zaidi yako mama (zaidi yako)
Nguvu ya mapenzi yako balaa (mapenzi yako balaa)
Umenifanya nijione bora (nijione bora)
Bila wewe mi siwezi ng'ara no no
(Chorus) [Jux]
In case you don't know (iye)
Nitacheka nawe
Nitacheza nawe (iye)
Nitaimba na wewe
In case you dont know (iye)
Nitaringa nawe
Nitakwenda nawe (iye)
Popote my baby girl
In case you dont know (iye)
Nitacheza nawe
Nitaimba nawe (iye)
Nitakwenda na wewe
In case you don't know (iye)
Nitacheza nawe
Nitaringa nawe (iye)
In case you don't know
Комментарии (0)
Минимальная длина комментария — 50 символов.