[Chorus]
Nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
Nakunywa ngiayi, naasha ndai
Nadunda Nai, zoza watoto after kirai
Ziko kwa drop zone hizo ma mali
Cheki kwa drop zone, aki walai
Aki walai, aki walai
Cheki kwa drop zone, aki walai
Nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
Nakunywa ngiayi, naasha ndai
Nadunda Nai, zoza watoto after kirai
Ziko kwa drop zone hizo ma mali
Cheki kwa drop zone, aki walai
Aki walai, aki walai
Cheki kwa drop zone, aki walai

[Verse: 1 Breeder LW]
Wanasema dosh siku hizi ume change
Ushaienda na msupa tangu lini picnic?
Cops waliskia me ni big deal
Nika have ku cryia Jah me ni pickney, yoo
Beast wakini pick me
Jela ziko huko kwa stairs ndio ntalala nditni
Ntalala na ma felon wenye wanaugua acne
Me bado king ku finesse
Njege wana njaro chafu is my character trait
Mlihepa na sikuja na msee
Nilipull na scrap in my pet, ayy we
Sikuangi na stress we baki mtaa
Udetect mahali dick yangu ina stretch
Foreign ndio bei, shout out Diani
Me siezi enda surfing Dubai
Mambang'a washainileteanga
Za kijicho pevu tangu chuo
Kuna siku opp alini target
Na mtoo akanimiss hadi nguo
Ever since football
Tukiguzanga huko maisa na manucho
Nakumbukaa tukiendea zoot kwa gunia
Ungenotice ni unusual
Si hukata keg ata pesa turokote
Now yuko kwa gang, ndugu wa toka nitoke
Nilienda kwa plug akani charge
Naskia ye ndio ako na tokkens
Unabonga tuna beef, usibonge matope
Unatakaje, si tuieke live in the open
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?