0
Yatapita - Prof. Jay (Ft. Harmonize)
0 0
Yatapita - Prof. Jay (Ft. Harmonize)
Uhmmmm Ay! Oooh yeah mhhhhh

[HARMONIZE]
Ipo siku na muda eeh
Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh
Yahalali nile kwa jasho
Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo
Naamini ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho

Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)

[Professor Jay]
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza
Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
Mara ya nne hata kabla Yakuanza nikateleza
Mara ya tano nikafeli wakanibeza
Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita
Kwamba maisha ni vita Jay unaweza
Mara ya saba mambo yalijiongeza
Kila nnapoanguka nainuka najisogeza
Nnapopata kidogo nakiwekeza
Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza
Mara ya nane Im the man all the way up
King Ndani ya jungle always keep my head up
Usikate tama ( ongeza juudi tu pambana)
Sitting on the top of the world kama unaweza
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?