0
2nd Wave - Wakadinali
0 0

2nd Wave Wakadinali

2nd Wave - Wakadinali
[Verse: 1]
Si tuko baaaze tunachill we got nothing to lose
Izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
Mikono juu plz usi make sudden moves
Ita press umuambie kuna kitu apa itamaka kwa news
Karao alitry kushika yout sema kuawacha mguu
Maumau pt2 ni vile tumetulia tu
Righteous youts lakini hamtushindi kugroove
Hamtushindi kupush hamtushindi ma 1 2

[Verse: 2]
Sa mnado... Ka si look na kuingia Carrefour
Pass iyo dutch umedunga na ni foreign si gush
Hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
Sa iyo keja imewaka na inagonga tu ma roots
Punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
Me ni ka elijah me ni ka moses niktembea kwa bush warena
Eeh nakam kwa arena na njaa za ki magera
Sauti ya miriam makeba inaplay kwa debe na tena

[Verse: 3]
Tumerudi tena ka 2nd wave but only better
Rizzla ki nea paraphenelia za mavela
Mbleina cheki radar tumeriet tuko ma redeye
Yes I natty zinadunda ka za dedan
Runda ndo si udunda zikirunda
Jeshi ya bunda washwash si mumesunda
Will m Mtunga ungechanua kina Mtuva
Izo mili ni za kusunda so itabaki jo umekulwa
Alfred Mutua alikuliwa pia na Julius
Crime scene 15 One down Rubia
Shut down shutup si uliambiwa tulia
Kushoto ya kahasho mpaka utaanza kuliaPastor alikula kondoo na mbegu haikuwa imegrow
Nliwaambia siste alienda kombo skuizi anapenda kuicock
Na si unajua hatujawai condon mistake zikiwa tatu in a row
Na si unajua hatujawai Bow down kwa mlami juu ya do
Me ndo iyo monkey kwa room otobenga yoh
Nimetoka human zoo waliniimport juu ya kuflow
Top ranking kwa booth Alpha Omega bro
Patia mtoto the truth ata unaeza mnyima do
Hang nao juu ya do kama Suicider kwa rope
Power inaeza fanya bro apige bro guto
Rap loud vunja gate ingia industry na force
Towers lazima zita fall after all i know
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?