0
Nikuone - Diamond Platnumz
0 0
Nikuone - Diamond Platnumz
[Verse 1]
Hhhmm
Mangapi niliona
Wala sikujali
Nikafumba macho
Hhhmm!
Na tena yaliyonchoma
Maumivu makali
Manyanyaso
Hhhmm!
Si mzima wa nafsi
Siwezi kudanganya
Uwepo wako
Unanifanya nalia
Fanya urudi basi
Japo kuntazama
Oh! me mwenzako
Ukweli naumia

[Bridge]
Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba Mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?