[Pre-Chorus]
Only you babe
Only you babe
You're my only one
My only one
[Verse 1]
Some say a fool never changed his mind
Well maybe, baby I'm a fool for you
Mapenzi kipofu ukipenda maovu huoni
Oh 'love is blind' never seemed so true
When I'm broke natumianga bro 'Please call me'
Akipiga naomba dooh
Mbona hakuna message inajitumanga 'Send me money'
Tukate long story short yo-yoo
Vumilia na mimi
Please don't leave me
Don't let the money fool you
Sponsors just wanna use you
Namwambia mtoto wa mama asiharibike
Anani-show ni biashara tu
Na siwezi mshibisha na pang'ang'a tu
Na mwezi ukiisha sina ujanja ooh
Na rent ikibishwa huanga blunder woo-woo...
[Chorus]
Bebi, bebi
Kuwa nami wakati sina
Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...
Na nikibarikiwa
Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka nawe
Bebi

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.