0
Sherehe - Harmonize
0 0

Sherehe Harmonize

Sherehe - Harmonize
(Instrumentals)

[Intro]
Konde Boy, call me number one
Ba-re-ssah
(S2Kizzy, baby)
Oh, oh, oh
Ah, uu-uu-uuh...
Aah-ah, ah, ah...

[Verse 1]
Ukiwa mvivu
Ni rahisi sana kuwa na wivu
Tulio jituma 'tuka achieve
Usitushangae tukila mbivu
Uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
Mh'
Ona yanavyo kutesa
Sie kwetu ni sherehe
Oya leo 'sherehe

[Pre-Chorus]
We don't really mind hata tukikesha
Liwake hata ikinyesha
Leo siku ya sherehe
Oya leo 'sherehe
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?