Ni Bahati tena, Vanny Boy
(EMB Records)

Harufu ya manukato
Iko sambamba na urembo wa sura yako
Mabusu ya midomo yako
Ni ishara ya upendo toka moyoni mwako

Naahidi nitakuwa na wewe daima
Na nimezama cha mpenzi kisima
Jitahidi kunitunzia heshima
Wambea wengi sana na wamejaa fitina

So lemi just say

K-I-S-S
Just a kiss for you
Unanipendeza sana we mama

K-I-S-S
Glad to call you mummy
As you call me daddy
Oooh wewe

Kiss kiss kiss kiss (Mwaah)
Kiss kiss (Mwaah)
Kiss kiss kiss kiss (Mwaah)
Kiss kiss (Mwaah)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?