[Intro]
Nataka usikie hii ngoma Gunz
Sijui vile utafeel
Already sijui vile unafeel
[Hook]
Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi, mmh
Unaskiza jamaa mbaya bana, very true
Nawashika bila kuwavalia navy blue
Malaika ananishow "Umeweka mapenzi juu!"
[Verse 1]
Rumours za ma-scandal za u-lover na lady drama
Na ati Statoe mahali uko na baby mama
Kwa mitandao kila siku ni story new
Bundles zako zikiisha utapitwa usipo-renew
Ka pedi niko chini ya waba, leo dredi zinafungwa juu
Naishi mahali juu kwa anga so daily na-enjoy the view
Ukitaka kuona roho chafu
Shika dooh kidogo uone vile utaboo watu
For ten years hamkuwa mnajali mahali nalala
Hii screw driver yangu ni shimo gani ina-screw
Mtu mahali ameamua hatalala salama
Kabla ahakikishe ameambia watu Nyash anaji-do
Sitaki kuona watu wakiku-celebrate
Role model na watoi wanaku-imitate
Haumangi pekee yako tuna-split hii plate
Au tuku-trendishe vile tulifanya Jimmy Gait
Hii industry ina ma-demon, uko sure unataka fame?
Pengine ndio maana si-blend in juu
Unaweza-tell kuna vile mi na hao hatuko same
Mi si ng'ombe yako ya gredi, duu!

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.