0
Dear X - Harmonize
0 0

Dear X Harmonize

На этой странице вы найдете полный текст песни "Dear X" от Harmonize. Lyrxo предлагает вам самый полный и точный текст этой композиции без лишних отвлекающих факторов. Узнайте все куплеты и припев, чтобы лучше понять любимую песню и насладиться ею в полной мере. Идеально для фанатов и всех, кто ценит качественную музыку.
Dear X - Harmonize
#INTRO
Inaniumiza ring Hello

#VERSE
Hello Dear X, Nimepata tetesi
Za kwamba unanisema ili nionekane si mwema
Pengine unastress maana umekonda mwepesi
Kwangu ukimya sio ukilema ila nachunga vya kusema
Maana niliubeba msalaba ikawa mi ndo mama mi ndo baba
Nikachanga tujaze kibaba Mbona hausemi
Kiume nilishukuru nikapangusa matako nikakuacha uende
Ukawe huru, Range na duka ni vyako mi nibaki na makende

#PRE-CHORUS
Kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli
Siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli
Sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo
Vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend

#CHORUS
Round hii hainaga (haina kutia huruma) hainaga kutia
Hivi ndio niseme nimejipata (hainaga kutia huruma) hainga kutia
Maana mbona nazidi kutakata (haina kutia huruma) hainaga kutia
Hainaga haiii haiiii (hainaga kutia huruma) hainga kutia

#VERSE
Ehh Peke yangu nisingeweza
Nisingeweza kuna kitu Mungu kaniongeza, kaniongeza
Ona nazidi kupendaza nina pendaza na nipo bize na fedha
Unacheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni
Uhaligani uko moyoni sema sema
Unacheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni
Uhaligani uko moyoni sema sema
Комментарии (0)
Минимальная длина комментария — 50 символов.
Информация
Комментариев пока нет. Вы можете быть первым!
Войти Зарегистрироваться
Войдите в свой аккаунт
И получите новые возможности